Na ndizo tabia za wanga ila wao waroge wenzao burudaaaani wao kulogwa hawataki.Yanga wanaogopa kurogwa
Hiyo ni kwenye mazoezi kabla ya mechi ,na hakuna mazoezi yanayorushwa liveView attachment 1962725View attachment 1962725View attachment 1962725Mkuu mbona unaiongelea Yanga tu ilihali tim zete karibu zote hufanya hivyo?
Kuwa mantiki siyo lawama.
Angalia hiyo ya Kigoma sasa.
Kosa halihalalishi kosa jingine kutendeka, Mleta mada kasema faini iongezwe.View attachment 1962725View attachment 1962725View attachment 1962725Mkuu mbona unaiongelea Yanga tu ilihali tim zete karibu zote hufanya hivyo?
Kuwa mantiki siyo lawama.
Angalia hiyo ya Kigoma sasa.
Kwani hiyo tamko la TFF linasema je.Kosa halihalalishi kosa jingine kutendeka, Mleta mada kasema faini iongezwe.
Yanga ndiyo wenye Tabia hizi
Usiteteee utopolo!
Hahahahahaaaaaaaaaa hatareeeeSasa si bora hata ya kuingia uwanjani kupitia mlango ambao siyo rasm! Badala ya kuingia uwanjani na LIPAKA PORI LIKUBWA! Tena kwenye mechi ya Kimataifa!
hata tukikatwa bado mtakuwa sawa na mbeya kwanza huko 😀😀Wakatwe points
Kwa shabiki kuingia na lipaka hakuna uthibitisho kuwa klabu ndio imemtuma kufanya hivyo, ila kwa utopolo ni kwamba viongozi, wachezaji, benchi la ufundi kwa pamoja wanapanga kutopita geti rasmi. Hivyo wanaacha ushahidi hadharani kwamba klabu ya utopolo inaamini ushirikina na ni walozi. Badilikeni utopolo mnaliaibisha taifa.Sasa si bora hata ya kuingia uwanjani kupitia mlango ambao siyo rasm! Badala ya kuingia uwanjani na LIPAKA PORI LIKUBWA! Tena kwenye mechi ya Kimataifa!