Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Naomba TFF ibadili faini au waongeze adhabu ,hii faini ya 500,000 hadi 1,000,000 ni ndogo mno haiwaumizi Yanga ,Tangu ngao ya jamii na mechi zote za ligi Yanga hawajawahi kutumia milango rasmi na wala hawaogopi faini inaonekana ni ndogo.
TFF waweke faini hata mil 50 hadi mil 100 labda hii tabia ya kizamani wataacha
TFF waweke faini hata mil 50 hadi mil 100 labda hii tabia ya kizamani wataacha