Faini ya kutumia mlango usio rasmi haitoshi

Faini ya kutumia mlango usio rasmi haitoshi

Naomba TFF ibadili faini au waongeze adhabu ,hii faini ya 500,000 hadi 1,000,000 ni ndogo mno haiwaumizi Yanga ,Tangu ngao ya jamii na mechi zote za ligi Yanga hawajawahi kutumia milango rasmi na wala hawaogopi faini inaonekana ni ndogo.

TFF waweke faini hata mil 50 hadi mil 100 labda hii tabia ya kizamani wataacha
Malizana na shemeji kwanza.

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom