Faini za TanRoad kuwa makini!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075

Huu ni mfano kwa yaliyotokea

Guys mnajua kuwa over speed kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla yake 200,000.

*FAINI ZA TANROADS KWA MAKOSA YA BARABARANI*.

JE, WAJUA KUWA KWA MUJIBU WA SHERIA YA BARABARA(ROADS ACT) 2007 TANROADS WANAYOMAMLAKA YA KUKAMATA NA KUADHIBU KWA:
*(a) KUZIDISHA SPEED*
*(b) KUFANYA WRONG PARKING?*

Sheria ya barabara ya mwaka 2007 na kanuni zake za mwaka 2009 inawapa TANROADS uwezo wa kukamata gari au mtu yeyote anayeharibu barabara na kumlipisha faini. TANROADS wanaweza kukukamata kwa overspeed, kupaki gari sehemu isiyoruhusiwa, kutiririsha mafuta, au kingine chochote kwenye sheria yao.

Na wao hawaingiliani na polisi kabisa, sana sana polisi wanaweza kukukabidhi TANROADS.

SHERIA YA BARABARA inawapa TANROADS mamlaka ya kukutoza faini ya *shilingi 200,000* kwa kosa la kuzidisha mwendo(section 32(1)&3)); 1,000,000 kutanua au kuendesha kwenye njia za waenda kwa miguu(section 49(1)a)); na 200,000 kwa wrong parking

*(Kanuni ya 56)*
Wao kule faini yao ya chini 50,000. Hivyo usishangae siku moja ukikamatwa na TANROADS na kupigwa faini hizo.

SHARE NA MWENZIO UJUMBE HUU
RSAadmin1
RSA TANZANIA
USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Aisee magari ni vyanzo vya mapato ?
 
Hizo risiti za kuandika kwa mkono bado zinatumika kumbe.... Duh yaani unatoa boriti kwenye jicho la mwenzio wakati kwako lipo hilo boriti tena kubwa.... Double Standards

Ibada Njema huanzia Nyumbani
 
Khaaaa hii ndio ile nchi tuliyoahidiwa viwanda!!!!!
Yelewiiiiii
 
Kama speed ni makosa basi Misafara ya raisi na viongozi wakubwa ndi wakosefu kupindukia... huu ni uonevu kwahiyo wanaona ukikimbia speed utafanana na raisi au? waacha zao njaa ya pesa ni mbaya huku ukiomba uombewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…