KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Huu ni mfano kwa yaliyotokea
Guys mnajua kuwa over speed kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla yake 200,000.
*FAINI ZA TANROADS KWA MAKOSA YA BARABARANI*.
JE, WAJUA KUWA KWA MUJIBU WA SHERIA YA BARABARA(ROADS ACT) 2007 TANROADS WANAYOMAMLAKA YA KUKAMATA NA KUADHIBU KWA:
*(a) KUZIDISHA SPEED*
*(b) KUFANYA WRONG PARKING?*
Sheria ya barabara ya mwaka 2007 na kanuni zake za mwaka 2009 inawapa TANROADS uwezo wa kukamata gari au mtu yeyote anayeharibu barabara na kumlipisha faini. TANROADS wanaweza kukukamata kwa overspeed, kupaki gari sehemu isiyoruhusiwa, kutiririsha mafuta, au kingine chochote kwenye sheria yao.
Na wao hawaingiliani na polisi kabisa, sana sana polisi wanaweza kukukabidhi TANROADS.
SHERIA YA BARABARA inawapa TANROADS mamlaka ya kukutoza faini ya *shilingi 200,000* kwa kosa la kuzidisha mwendo(section 32(1)&3)); 1,000,000 kutanua au kuendesha kwenye njia za waenda kwa miguu(section 49(1)a)); na 200,000 kwa wrong parking
*(Kanuni ya 56)*
Wao kule faini yao ya chini 50,000. Hivyo usishangae siku moja ukikamatwa na TANROADS na kupigwa faini hizo.
SHARE NA MWENZIO UJUMBE HUU
RSAadmin1
RSA TANZANIA
USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE
Samsung SH 8 Mobile Traveller