Faisal ahame kwa kufuata taratibu

Sure boy yuko wapi sasa hivi
Sure boy alikuwa na mahaba na ynga lakini Yanga alizuiwa kuhamia timu anayoipenda. Feisal haipendi Azam ila anapenda hela, ndio maana atashindwa kuhama, maana hata GSM anazo pesa za kumpatia, not for sale
 
Feisal ana mahaba na pesa na wazenji wenzake hayo mengine maneno tu kwa vile hamna pesa
Acheni dogo akale maisha hmna pesa ya kumlipa wa kumtunza
 
Azam waache janjajanja, kama wanamtaka Fei waweke mzigo mezani, siyo kutafuta shortcut
 
Wakati anasajiliwa Yanga Azam haikuwepo? Asubiri mkataba uishe
 
Shida sio kuondoka kwa Fei, bali namna anavyotaka kuondoka, na sio Fei bali wachezaji wengine waliobakia kufuata njia ya Fei ya kuondoka Yanga. Kwa njia hii kesho Azam akimtaka Aziz Ki wanampa hela TU ya kuvunja mkataba
 
Semaji la Azam, unasemaje?
 
Shida sio kuondoka kwa Fei, bali namna anavyotaka kuondoka, na sio Fei bali wachezaji wengine waliobakia kufuata njia ya Fei ya kuondoka Yanga. Kwa njia hii kesho Azam akimtaka Aziz Ki wanampa hela TU ya kuvunja mkataba
Umeongea pointi sana.

Yaani ingekuwa mchezaji anajiamulia tu kuvunja mkataba kwa kujitolea kiwango anachoona yeye atoe si ingekuwa vurugu kwenye soka.
 
Wenyewe wanasema tuendele kunywa mtori nyama zipo chini, eti tuendelee kumsubiria CESAR ama ?

Feisal ana mahaba na pesa na wazenji wenzake hayo mengine maneno tu kwa vile hamna pesa
Acheni dogo akale maisha hmna pesa ya kumlipa wa kumtunza
Unahisi yanga ni kama wapanda coaster
 
Umeongea pointi sana.

Yaani ingekuwa mchezaji anajiamulia tu kuvunja mkataba kwa kujitolea kiwango anachoona yeye atoe si ingekuwa vurugu kwenye soka.
Kusingekiwa na haya ya kwenda kusajili sijui wapi huko, timu ingesubiri TU wenzie wasajili na yeye kuwachukua kwa kuwapa hela za kuvunjia mkataba na kuwasomba wote kuwa wake. Ni upuuzi wa hali ya juu. Kama unamtaka mchezaji wa mwenzio nenda mkajadiliane bei ya kumnunua sio kuongea na mchezaji au mama yake.
 
Hawana hela ya kuongea na yanga ndio maana wakata shortcut
Nitashituka sana kama Yanga hawatafungua kesi dhidi ya Azam fc,
Je, pesa za kuvunjia mkataba alizitoa wapi mchezaji? Je timu kuongea na mchezaji wa timu nyingine mwenye mkataba bila kupitia kwa mmiliki wake ni sawa kwa taratibu za TFF, CAF na FIFA? Je, ikibainika Azam wangefanya hivyo adhabu yake ni nini?
 
Azam waache janjajanja, kama wanamtaka Fei waweke mzigo mezani, siyo kutafuta shortcut
Takukuru itusaidie kujua ni nani amegharamia zoezi la kulipa 112m za kuvunjia mkataba. Nani kahamisha pesa kwenda kwenye account ya Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…