Mkuu haya mambo sio ya kiholela kama unavyodai.shida ni madhaifu au matobo kwenye mikataba yetu.
Azam sio watu wa migogoro hata kidogo,Azam mcheza akitaka kusepa hata kama wanamuhitaji uwa wanamuacha kiroho safi,na pia wakitaka mchezaji huwa wanafata taratibu vizuri kabisa.
sasa kweye hili la Fei kuna madhaifu kwenye mkataba wa Fei na Yanga.
Azam kama club wamesimama kwenye mstari shida ipo huko kwa Yanga na Fei.
kuna mikataba unafungwa bila kuinua macho kuangalia ya mbeleni nini kinaweza kutokea.
volue of money ya m100 kwa malipo ya mchezaji kuvunja makataba kipindi icho Fei anajiunga Yanga ilikua ni mzigo mkubwa,ila kwa sasa timu kama Azam,Simba,Yanga wanazitoa kwasababu mpira umepanda thamani.
makosa yalnajirudia yaleyale ya madhaifu ya mikata ndo yanazaa migogoro.kumbuka swala la Singano,Efue n,k