National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Wajinga ndio waliwao.. acha wamachangie akale bata 😅😅Dogo anataka kupiga beer huku akiwa na mrembo
Hawezi kwenda CAS
Hamna kesi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga ndio waliwao.. acha wamachangie akale bata 😅😅Dogo anataka kupiga beer huku akiwa na mrembo
Hawezi kwenda CAS
Hamna kesi hapo
Dogo anataka kupiga beer huku akiwa na mrembo
Hawezi kwenda CAS
Hamna kesi hapo
Eti wadau mi sielewi sijui Faisal anatuchukuliaje wenzake. Km aliweza kulipa zaida ya mil 100 ili avunje mkataba wake sasa anakosaje mil.50? Hii taarifa ni changanya bwege.Wale wale waliompa ile mil.110 ndo hao hao wanaenda kumlipia CAS. Hii ya kuomba kuchangiwa ni kichaka cha kuonekana Watanzania tumemchangia ila mzigo wote tayari anao. Sisi tuliosoma Cuba tushaelewa.
Sasa hivi kuna mashabiki wanachotaka ni kumuona Fei kapotea, kawa masikini wa kutupwa na soka hana tena. Roho zao zinakuwa kwatuuu. Furaha juu kama kapata tiketi ya kwenda mbinguni kabla ya siku ya hukumu.Ila Watanzania tuna wivu sana na kuona kila Mtu aishi vile tunavyotaka sisi.
Ameilipa Yanga Mil 110, mkaanza kusema Feisal fedha yote ile katoa wapi. Sasa hivi ameomba watu wamchangie, tunaanza kusema inakuwaje ashindwe Mil 55.
Wewe kama unayo toa na kama hauna kausha, pia kama huna nia ya kuchanga kausha sio kuanza kuuliza maswali hakuna anayeweza kujibu isipokuwa Feisal mwenyewe ambaye hata yeye ameomba kuchangiwa [emoji1488]
Galatasaray ya TurkeyTim gani iko tayar kumsajili kwa sasa??
Muda ni dawa toshaEti wadau mi sielewi sijui Faisal anatuchukuliaje wenzake. Km aliweza kulipa zaida ya mil 100 ili avunje mkataba wake sasa anakosaje mil.50? Hii taarifa ni changanya bwege.Wale wale waliompa ile mil.110 ndo hao hao wanaenda kumlipia CAS. Hii ya kuomba kuchangiwa ni kichaka cha kuonekana Watanzania tumemchangia ila mzigo wote tayari anao. Sisi tuliosoma Cuba tushaelewa.
Duh noma kwahyo yote haya unayajua na wao hawayajui. Sasa itakuaje hapoTanzania haki inapindishwa sana hakuna asiyejua kama dogo anahujumua na hiyo club ya hovyo na viongozi wake na ataenda kupata haki zake huko mbele na itawagharimu sana timu hiyo ya ovyo na viongozi kwa ujumla mtamlipa nusu ya hisa ya timu yenu na mtakuja kujuta
😂😂😂😂 Kwani nyie mkimuangalia fei mnamuona mzima kabisa kunansehemu waya zimekatika sio mzima kabisaDogo kitasaaa sana yule
Duh noma kwahyo yote haya unayajua na wao hawayajui. Sasa itakuaje hapo
Ushakuwa Kerubi wa Takadini?? Anawaharibu kwa kweli Lol.Analetaga hizi mbanga yanga anavyokuwa na mechi muhimu
Kisa haitaki team yenu, mbna alipokua anawafanyia makubwa mlikua mnamuona lulu?? Muwage na shukranii khaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani nyie mkimuangalia fei mnamuona mzima kabisa kunansehemu waya zimekatika sio mzima kabisa
😂😂😂😂 Kesi au sio na je kama kesi zangu hazifiki mshakamani itakuaje. Huko rishwa ipo kama kawa na tupo hapa tutaona nn kitaendeleaNgoja siku upate kesi alaf uende mahakamani ndio utajua haki hakuna mwenye nacho haki kwake ndio ipo, sasa hivi hauwezi kujua sasa uko atakapoenda fei toto hakuna rushwa huko mzee utakuja kusikia kitu baada ya dogo kupeleka mashtaka huko
Kisa haitaki team yenu, mbna alipokua anawafanyia makubwa mlikua mnamuona lulu?? Muwage na shukranii khaaah
Shabiki wa yanga weyeee, hata usipate tabu kujifichaa ni uhuru wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungejua sinaga ushabiki wa simba au yanga kiufupi sina upenzi wa mipira ya kibongo iliojaa figisu
😂😂😂 SawaShabiki wa yanga weyeee, hata usipate tabu kujifichaa ni uhuru wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relaaaaaxx
🤣🤣🤣🤣Hapo anakula urojo kichwa kinawaka moto, angevuta bangi ya sangiti angekuajeUkuona mtu anakula ugali na sukari, badala ya ugali na chumvi. Jua hapo kuna shida kichwani. Dogo kichwa kimewaka moto...