Faisal aliweza kulipa mil.110 za kuvunja mkataba, anakosaje mil.50?

Dogo anataka kupiga beer huku akiwa na mrembo
Hawezi kwenda CAS
Hamna kesi hapo

Haijalishi ila tutamchangia maadam katumia neno "kutafuta haki yake" akitumia kwenye bia na madem sisi hatujui atajua yeye
 
Ila Watanzania tuna wivu sana na kuona kila Mtu aishi vile tunavyotaka sisi.

Ameilipa Yanga Mil 110, mkaanza kusema Feisal fedha yote ile katoa wapi. Sasa hivi ameomba watu wamchangie, tunaanza kusema inakuwaje ashindwe Mil 55.

Wewe kama unayo toa na kama hauna kausha, pia kama huna nia ya kuchanga kausha sio kuanza kuuliza maswali hakuna anayeweza kujibu isipokuwa Feisal mwenyewe ambaye hata yeye ameomba kuchangiwa [emoji1488]
 
Sasa hivi kuna mashabiki wanachotaka ni kumuona Fei kapotea, kawa masikini wa kutupwa na soka hana tena. Roho zao zinakuwa kwatuuu. Furaha juu kama kapata tiketi ya kwenda mbinguni kabla ya siku ya hukumu.

Sababu? Hakufuata taratibu za kuondoka Yanga. Hapa ndo unaamini kuwa uchawi sio ule wa nadharia za kupaa ila ni aina ya matamanio ya moyo kwa binadamu mwingine.
 
Tanzania haki inapindishwa sana hakuna asiyejua kama dogo anahujumua na hiyo club ya hovyo na viongozi wake na ataenda kupata haki zake huko mbele na itawagharimu sana timu hiyo ya ovyo na viongozi kwa ujumla mtamlipa nusu ya hisa ya timu yenu na mtakuja kujuta
 
Muda ni dawa tosha
 
Duh noma kwahyo yote haya unayajua na wao hawayajui. Sasa itakuaje hapo
 
Duh noma kwahyo yote haya unayajua na wao hawayajui. Sasa itakuaje hapo

Ngoja siku upate kesi alaf uende mahakamani ndio utajua haki hakuna mwenye nacho haki kwake ndio ipo, sasa hivi hauwezi kujua sasa uko atakapoenda fei toto hakuna rushwa huko mzee utakuja kusikia kitu baada ya dogo kupeleka mashtaka huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani nyie mkimuangalia fei mnamuona mzima kabisa kunansehemu waya zimekatika sio mzima kabisa
Kisa haitaki team yenu, mbna alipokua anawafanyia makubwa mlikua mnamuona lulu?? Muwage na shukranii khaaah
 
Ngoja siku upate kesi alaf uende mahakamani ndio utajua haki hakuna mwenye nacho haki kwake ndio ipo, sasa hivi hauwezi kujua sasa uko atakapoenda fei toto hakuna rushwa huko mzee utakuja kusikia kitu baada ya dogo kupeleka mashtaka huko
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kesi au sio na je kama kesi zangu hazifiki mshakamani itakuaje. Huko rishwa ipo kama kawa na tupo hapa tutaona nn kitaendelea
 
Kisa haitaki team yenu, mbna alipokua anawafanyia makubwa mlikua mnamuona lulu?? Muwage na shukranii khaaah

Ungejua sinaga ushabiki wa simba au yanga kiufupi sina upenzi wa mipira ya kibongo iliojaa figisu
 
Ungejua sinaga ushabiki wa simba au yanga kiufupi sina upenzi wa mipira ya kibongo iliojaa figisu
Shabiki wa yanga weyeee, hata usipate tabu kujifichaa ni uhuru wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relaaaaaxx
 
Ukuona mtu anakula ugali na sukari, badala ya ugali na chumvi. Jua hapo kuna shida kichwani. Dogo kichwa kimewaka moto...
🀣🀣🀣🀣Hapo anakula urojo kichwa kinawaka moto, angevuta bangi ya sangiti angekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…