Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jamani namtafuta huyu mdada aitwaye Faith Manyaki kama bado hajavalishwa pete na mtu. Ni rafiki yangu tu huyu wa zamani sana na tumepoteana miaka mingi mno. Tulisoma wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rafiki yako tu,sasa kuvalishwa pete kunahusika nini tena mkuu NN? au unataka uvute kama atakuwa available!
Kuvalishwa pete kunahusika kwa sababu kama keshavalishwa sitahangaika tena kumtafuta na kumsabahi.
Salamu ana ujumbe vitakuwa vimemfikia popote alipo;
Chagua wimbo ...
Ulisoma nae Tabora girls?
Jamani namtafuta huyu mdada aitwaye Faith Manyaki kama bado hajavalishwa pete na mtu. Ni rafiki yangu tu huyu wa zamani sana na tumepoteana miaka mingi mno. Tulisoma wote.