Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Muigizaji wa Bongo movie na 'baby mama' wa Mbunge wa Mbeya Mjini maarufu kama Sugu afunguka Instagram kuhusu mapenzi yake kwa mzazi mwenzie na kutoa tambo za kutosha kuwa hata Sugu akioa nyumba na mali zote za mbunge huyo ni za mwanae Desderia Sasha na hivyo akikua atarudi kwa baba yake.





Faiza pia aliendelea na kumponda mtarajiwa wa Mbunge huyo kuwa ameshawahi kuolewa na kuachika hivyo hawana tofauti.



Sasa Faiza, wivu wa nini jamani?...wewe hutakagi kuwa 'judged' ila unavyomjudge mwenzio unajua kilichomfanya akatoka ndoani?
 
Ka toto kazuri haka jamani!
 
Mambo ya mapenzi ni shida..... hakuna anae jua feelings za mtu juu ya mwenza wake. Always love is a complicated when in hand of others. ....... Mumuache anaongea ya moyoni mama wawatu......
 
Kuna kitu anataka huyu sio bure.. Na pia sio timamu... Aachwe tu kama alivyo
 
Sugu atakoma kuringa. Chezea Milembe wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…