Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

Mambo ya mapenzi ni shida..... hakuna anae jua feelings za mtu juu ya mwenza wake. Always love is a complicated when in hand of others. ....... Mumuache anaongea ya moyoni mama wawatu......
Pointi kubwa
 
Kwa hili namtetea Faiza...ukiachwa na unayempenda inauma afu ndo usikie anaoa inauma zaidi..namna ya kukabiliana na hayo maumivu ndio inamtofautisha Faiza na wengine..kifupi ameshindwa kuachilia inaonekana hizi habari zimemuumiza mno ( labda akikumbuka fantasy na privilege alizokua akipata afu leo anapewa mwingine ndio huo uchizi unapanda [emoji23] )
 
I gotcha Faiza,I can feel your pains. Mr Sugu was the only world to you, when you lost him is like you lost a part of you. People can judge you,can hurl insults at you because they never loved, when they love they will understand the shit you're going through.
 
😀😀😀
 

Attachments

  • 1460550725501.jpg
    1460550725501.jpg
    61.4 KB · Views: 50
Ukiwa neutral utamuelewa huyo binti. Ukichagua upande utashindwa kupima. Mwenyewe kasema anampenda, wengine wanasema acha wivu ni upuuzi.
 
Maybe you should spend some time with those people you tend to judge and you will find out that they are not that bad people as you believe. Speaking of her disgusting behavior as you call it,know that there is always a reason behind those behaviors, if those people tell you what they went through in their life you might change your negative opinion of them.
She may be pretty-faced but she doesn't have class. Nasty, nasty bitch! Spiteful and full of shit!
 
Mhh uyu faiza me nna waswas na akili zake,sugu alijionea mapema,ndo athari za kuokota okota tu wanawake sasa inamcost.pole sana faiza.ndo maisha.
 
Mapenzi yanaumiza jamani......acheni tu hapo kachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom