Pointi kubwaMambo ya mapenzi ni shida..... hakuna anae jua feelings za mtu juu ya mwenza wake. Always love is a complicated when in hand of others. ....... Mumuache anaongea ya moyoni mama wawatu......
Hehehehe mkuu umenifanya nicheke nkiwa chooniAkili za faiza wa mh sometimes hazitofautiana na faiza wa jf
Poleni sanaMapenzi hayana adabu,ila hadi mwanamke kuzaa na mtu ni wazi anakuwa amempenda sana basi tu wanaume mnatuzinguaga
Si ajabu mheshimiwa nae aliyapenda huo huo ukichaa wakeMi napenda ukichaa wake
She may be pretty-faced but she doesn't have class. Nasty, nasty bitch! Spiteful and full of shit!
Ina maana ww unaingia chooni na cmu Kha!!!?Hehehehe mkuu umenifanya nicheke nkiwa chooni