Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Nilufer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
9,603
Reaction score
13,654
Yule mwanadada machachari na ex wa Mbunge maarufu kutoka mkoa wa Mbeya, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameibuka na kuicharua shule maarufu ya watoto wa kishua kwa kumrudisha mtoto nyumbani kisa anadaiwa laki moja ilihali yeye mzazi ameshalipia kiasi cha milion mbili taslim.

Kama kawaida yake hasira zake akazimalizia kwa muheshiwa kwa kumshushia kichambo heavy ambaye mara nyingi ndiye victim wa stress zake.
 
aiss kuna baadhi ya watu akiri zao wanazijua wenyewe...huyu binti sijui anatatizo gani!!anyway...ngoja aendelee kuandika nasi tupate cha kusoma na kucomment...ila amesahau anatakiwa kumwombea adui yake ili yeye akifanikiwa ajionee kwa macho yake!
 
Back
Top Bottom