tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 781
Hawa wanawake watatumaliza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio move on hawa semi utaona matendo yaoMbonaa anajifanyagaa kuwa ka move on na maisha yakee na anajisifu yuko sawaa na maisha yake na mwanae anayamuduu cha kumtoa povu jingii namnaa hiyoo nikitu gan?
Hayajawahi kukukuta. Shida si kutunza mtoto au kufuatilia, hasa hasa anataka ammiliki sugu hapo kutakuwa na usalama la sivyo kila atakalofanya ni bure. Ogopa kuacha mwanamke akiwa bado anakupendaAnachofurahisha tu bado anampenda ex husband wake.
Lakini Sugu naye anakosea, inabidi afuatilie mahitaji muhimu ya Mwanae regardless Mtoto yuko kwa Mama Yake.
Anataman angekuwa bado yuko nae awe mama mwenye hoteli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walio move on hawa semi utaona matendo yao
Sawasawa....awaite wale mabwege wamsaidie waliokuwa wanamlisha ujinga hadi akawa anamchafua sugu.Alikua hajui kua upo wakati wa kumhitaji mzazi mwenzie kwa malezi ya mtoto..Mpuuzi huyu, si alitaka mtoto na kulia akaona anateka kupokwa, pamoja na mahakama kuamua lakini Sugu akamuachia mtoto, kama Ada inaletwa na yeye anataka Aponee hapo hapo, anaona mzigo sasa..si kaongeza mwingine..apambane tu.
Huwa kila napogusa lazima nijithibitishie kichwani kuko salama na ndo maana kwangu uzuri wa sura sio kigezoHiii ndo hasara ya kuzaa na wanawake wasiojitambua
angepatikana mtu mwenye busara akawakalisha chini wamalize tofauti Zao. maana anayeathirika ni mtoto waoSawasawa....awaite wale mabwege wamsaidie waliokuwa wanamlisha ujinga hadi akawa anamchafua sugu.Alikua hajui kua upo wakati wa kumhitaji mzazi mwenzie kwa malezi ya mtoto..
[HASHTAG]#sugu[/HASHTAG] moto chini...
Sugu hana kosa. Unapokuwa mwanasiasa hasa nchi kama tz ujue utawindwa kote. Just imagine kama siyo upumbavu ni nini inawezekanaje kumfukuza mtoto kisa laki.Anachofurahisha tu bado anampenda ex husband wake.
Lakini Sugu naye anakosea, inabidi afuatilie mahitaji muhimu ya Mwanae regardless Mtoto yuko kwa Mama Yake.