Lengo lake ikiwa inatumwa pesa ya mtoto ndo anapata hapo hapo, au umewasahau hawa watu!Kosea vyote lakini usikosee kuoa ivi uyu dada si alikua analilia lia Sugu alivyopewa haki ya kua na mtoto mahakamani..Sasa sugu kwa uugwana tu kaamua kumuachia mtoto sasa analialia nini apambane na hali yake tu
Ohooooo!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Lengo lake ikiwa inatumwa pesa ya mtoto ndo anapata hapo hapo, au umewasahau hawa watu!
Kuna kitu nyuma ya paziaaiss kuna baadhi ya watu akiri zao wanazijua wenyewe...huyu binti sijui anatatizo gani!!anyway...ngoja aendelee kuandika nasi tupate cha kusoma na kucomment...ila amesahau anatakiwa kumwombea adui yake ili yeye akifanikiwa ajionee kwa macho yake!
Anawish ye ndo angekuwa mama mwenye hotel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapovu ya single mother