Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Funzo kwa vijana muwe makini kuchagua sehemu za kuchovya,ama kufyatua.keshatuuzia sana wakazi wa hong kong na vitongoji vyake miaka ya nyuma.Ile biashara inapagawisha,wengi hawajabaki salama upstairs.
 
How did I follow in LOVE! --> FALL

RULE MODEL >> ROLE MODEL!

Jamani tumieni Kiswahili kama mimi
 
Anachofurahisha tu bado anampenda ex husband wake.

Lakini Sugu naye anakosea, inabidi afuatilie mahitaji muhimu ya Mwanae regardless Mtoto yuko kwa Mama Yake.
Hayajawahi kukukuta. Shida si kutunza mtoto au kufuatilia, hasa hasa anataka ammiliki sugu hapo kutakuwa na usalama la sivyo kila atakalofanya ni bure. Ogopa kuacha mwanamke akiwa bado anakupenda
 
Tatizo huyu single mother bado anampenda sugu ila ndio hivyo sugu kasha move on hana time nae,kuna binti nimezaa nae basi hawatofautiani na huyu Faiza ipo siku kichaa kinampanda basi atatuma sms zaid ya 100 uzuri mm nazisoma then sijibu chochote ndio anapagawa kbs...
 
Huyu binti hanaga akili kabisa.

Hapa sugu alikosea sana mno kabisa. Bora angechukua mnyaki mwenzie toka KYELA huko tangu zamani.

Halafu haka kabinti kuna wakati kanataka sugu akazalishe tena. Sijui kanakuwa high in marjuana au vipi???????????????????
 
Mpuuzi huyu, si alitaka mtoto na kulia akaona anateka kupokwa, pamoja na mahakama kuamua lakini Sugu akamuachia mtoto, kama Ada inaletwa na yeye anataka Aponee hapo hapo, anaona mzigo sasa..si kaongeza mwingine..apambane tu.
Sawasawa....awaite wale mabwege wamsaidie waliokuwa wanamlisha ujinga hadi akawa anamchafua sugu.Alikua hajui kua upo wakati wa kumhitaji mzazi mwenzie kwa malezi ya mtoto..
[HASHTAG]#sugu[/HASHTAG] moto chini...
 
Sawasawa....awaite wale mabwege wamsaidie waliokuwa wanamlisha ujinga hadi akawa anamchafua sugu.Alikua hajui kua upo wakati wa kumhitaji mzazi mwenzie kwa malezi ya mtoto..
[HASHTAG]#sugu[/HASHTAG] moto chini...
angepatikana mtu mwenye busara akawakalisha chini wamalize tofauti Zao. maana anayeathirika ni mtoto wao
 
Anachofurahisha tu bado anampenda ex husband wake.

Lakini Sugu naye anakosea, inabidi afuatilie mahitaji muhimu ya Mwanae regardless Mtoto yuko kwa Mama Yake.
Sugu hana kosa. Unapokuwa mwanasiasa hasa nchi kama tz ujue utawindwa kote. Just imagine kama siyo upumbavu ni nini inawezekanaje kumfukuza mtoto kisa laki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…