Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Kwa maneno machafu hayo sishangai kama uliamua kuweka makalio yako wazi dunia ikayashuhudia kwani kipi utashindwa kuandikai. Wanawake wengine wapo kama timed bomb.....
 
Kwa Matusi yale....nafikiri aliye zaa nae mtoto wa pili akili kumkichwa anatamani huyo mtoto amrudishe kiunoni mwake.......
Au jamaa naye mwenye mtoto wa pili kakata mrija labda aliyezaa nae kakata mrija baada ya kuyumbishwa.....akategemea hela itoke kwa Sugu nae akakaza....maisha haya.
 
Kosea vyote lakini usikosee kuoa ivi uyu dada si alikua analilia lia Sugu alivyopewa haki ya kua na mtoto mahakamani..Sasa sugu kwa uugwana tu kaamua kumuachia mtoto sasa analialia nini apambane na hali yake tu
Sugu na ujanja wote pale ndio alipokwamia...[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
 
ewe mb*o yangu jizuie kud!nda dinda kla mda ucje niponza kwa mwanamke kma huyu
 
Pale unapomgeuza mwenzako kitega uchumi na yeye akashtuka lazima upagawe
 
Mkuu kwa nini ulimwacha
 
suluhisho ni mheshimiwa kumchukua mtoto akae naye yeye....
sio kumuachia kichaa
 
Maisha yamekua magumu,sugu kawa sugu kweli amlipie mtoto ada mana hana kosa,aache ungese wa kijinga alipe ada mtoto niwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…