Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoto ndio kwanza yupo chekechea na Ada ni kama milioni 2 na chenchichenchi kadhaa...daah ya nini kujitakia presha yote?? kwani hamna English medium zenye ada pungufu na hapo? Au ndio kujioneshea ufahari...?
 
Huyu dada anajisheua anaumia sana akiona mh akipasua anga anatamani kurudi ila geti limekwishafungwa
 
Mtoto ndio kwanza yupo chekechea na Ada ni kama milioni 2 na chenchichenchi kadhaa...daah ya nini kujitakia presha yote?? kwani hamna English medium zenye ada pungufu na hapo? Au ndio kujioneshea ufahari...?
YAni hata mimi sijawahi kuelewa chekechea ya milion mbili ina nini cha ziada labda kama ina matoy ya kiwango cha juu ya kuchezea lakini sidhani kuna la zaidi ambalo mtoto mdogo anaongezewa katika masomo.
Chekechea nimejikunja sana laki sita sitaki mchezo.
 
Funzo kwa vijana muwe makini kuchagua sehemu za kuchovya,ama kufyatua.keshatuuzia sana wakazi wa hong kong na vitongoji vyake miaka ya nyuma.Ile biashara inapagawisha,wengi hawajabaki salama upstairs.
Mke mwenyewe wamekutana Facebook unategemea nini nduguyangu
 
Sasa huyu wa pili aliyezaa na baba asiyejulikana akifikia mda wa kwenda shule atamcharua nani atume ada?vitu vingine vya kujiongeza ina maana Faiza amekosa hiyo laki au ndo anapenda madrama na Sugu.

Huyu kichanga akifika wakati wa kwenda shule ndo tutamjua baba ake [emoji23][emoji23][emoji23]. Lazima na yy apokee kichambo kama cha mheshimiwa
 
Huyu kichanga akifika wakati wa kwenda shule ndo tutamjua baba ake [emoji23][emoji23][emoji23]. Lazima na yy apokee kichambo kama cha mheshimiwa
Hahahaaa aisee ni kweli...naona ni suala la mda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…