brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Mwana mama anayekuja juu kwa kasi ambaye pia ni mke wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi kila kukicha anazidi kuonesha vituko vyake
Faiza leo kaamua kuipa promo chupi yake kwa kupita mbele za watu na kuwalingishia na akaona hiyo haitoshi akaamua kuwaelekeza mpaka mahali zinapopatikana chupi hizo