Faiza Ally akijibu kukaa kwake uchi Nirvana

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
Nimemsikiliza Faidha Ally kwenye Nirvana akijibu maswali ya nini kimepelekea kukaa uchi, nimejisikia kuogopa na kuamini shetani hana mapembe. Nimeamini Faiza ana alama zote za kishetani. Majibu yake ni kwamba yeye anajisikia furaha tu kuvaa anachojisikia na kwenye bethdei yaka alivaa pampas.

Kweli mheshimiwa Sugu alizaa na kichaa na mbunge aliyepeleka hoja ya Faiza bungeni asipewe nafasi kurudi bungeni.

KWELI WAKIACHIWA WATAWEZA
 
Hata mimi nilimuangalia, doooo kichwani hamnazo kabisa yani.
 
Nilipania kutomiss Nirvana matokeo yake nikasahau kuangalia. Marudio yanakua lini kwa anayejua?
 
Marudio yalikua leo saa 8 mchana. Mi nimependa alivyojieleza, ana confidence sana. Watu wanaona dhambi ni mavazi tu wakati wengine wako na mahijabu kutwa lakini ndo wachafu kupindukia
 
Muacheni dada wa watu! Bora yake yanaonekana kwa macho ya wanadamu bila kificho! Yenu mnafanyia sirini machafu mabaya mpaka ibilisi mwenyewe anawaogopa! Wanadamu acheni kuhukumu,!
 
Marudio yalikua leo saa 8 mchana. Mi nimependa alivyojieleza, ana confidence sana. Watu wanaona dhambi ni mavazi tu wakati wengine wako na mahijabu kutwa lakini ndo wachafu kupindukia

Hivi marudio hayawagi mara tatu vipindi vya Eatv... niliona hints za kipindi nikajua kitakua bomba....

Thanks pia
 
Huyo faiza nahisi halmashauri yake ya kichwani sio nzuri kwa mtu anaejielewa hawezi vaa vazi la kituko kama lile...
 
Ila dada kabla ya hizi mbwembwe zake nilikuwa simjui ila sasa wengi tumemjua, sasa ni wakati wake wa kufanya kitu kutokana na jina alilolipata ili atengeneze fedha
 
Ila dada kabla ya hizi mbwembwe zake nilikuwa simjui ila sasa wengi tumemjua, sasa ni wakati wake wa kufanya kitu kutokana na jina alilolipata ili atengeneze fedha
Hahaha,aisee hii kali,

Ni kweli wenzetu nje wanatafuta kiki huku wanapesa,ila sie tunafanya tukio ili likivuma ndio utengeneze pesa.

Watu wengi walikuwa hawamjui kabisaa,ila sasa wanamjua,ila sema tu Bongo ni tofauti na unavyoijua.

Usiombe nchi hii watu wakakuchoka na habari zako,yaani utajuta kuzaliwa,maana kwanza wanakupotezea kabisaa,na pili wewe mwenyewe status yako kwako na kizazi chako ni mbaya,na wazazi wako unawatia doa mbele ya jamii.
Kuna familia leo hii wazazi wao wakionekana kwenye jamii wanaonekana na wao hovyo tu.

Na hizi picha ni still,ambazo hadi mjukuu wake atazikuta,ni mbaya sana.

Amuulize wema Sepetu leo hii yupo wapi,si alikuwa kwenye kila gazeti,watu wamechoka sasa hivi wanona hakuna jipya.
Wamuulize Sinta wa Nature alivyopotea hadi leo.

We fanya vizuri tu ndio utajua kwamba Nchi hii fursa zipo,BIG UP saana dada yangu LADY JAYDEE,hili jembe ndio nalikubali saana katika madada wa Nchi hii wenye kujua nini wanafanya.Heshma yake na familia na kwenye jamii ipo pale pale na inazidi kukua.
Na ukiwa mtu mzuri basi hata akitokea mtu kukuharibia basi anapotea yeye.
 
Marudio yalikua leo saa 8 mchana. Mi nimependa alivyojieleza, ana confidence sana. Watu wanaona dhambi ni mavazi tu wakati wengine wako na mahijabu kutwa lakini ndo wachafu kupindukia

Mmmmhhhh...........
 
Sa hizi angekua anakula kiulaini kiinua mgongo cha sugu ila ubwege wake umemponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…