Faiza Ally amuomba msamaha Sugu, adai Sugu "anachezewa" ili amsahau mwanae

Faiza Ally amuomba msamaha Sugu, adai Sugu "anachezewa" ili amsahau mwanae

Jongwe na dua zote hizo hukurudi, wewe kisiki.
Huyu nlikaa naye jirani yeye alipanga nyumba Ile aliyekuwa akiishi mpiga picha wa kingwa
Vituko vyake tunavijuaaa kichwn hayuko sawa
Hana adabu kwanza wala heshima... Kwa life Ile hkuna mama mkwee yoyote akataye kubaliana naye kama ndy uzunguu duhhh kpitilizaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh sky kate mbali sana sema faiza role model wake ni kim kardashian na nduguze au beyonce
Wazungu pia wako wastaarabu na washenzi. Mtu anafanya vituko tunaambiwa ni uzungu mwingi mmh mbona Kate Middleton hana vituko hivyo?
 
Huyu dada kuna muda namuelewa na kuna muda anazingua. Sijawahi kuelewa kwanini anamng'ang'ania Sugu wakati anasema yeye ndio alimuacha Sugu. Alimtukana sana mama Sugu kwasababu sizizo eleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kuna muda namuelewa na kuna muda anazingua. Sijawahi kuelewa kwanini anamng'ang'ania Sugu wakati anasema yeye ndio alimuacha Sugu. Alimtukana sana mama Sugu kwasababu sizizo eleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ananikera hapo tu. Kuna mambo ni bora ukae kimya. Hlf anaonekana mjinga maana mke wa sugu hamjibu chochote. Angeacha kumzungumzia sugu kila mara tena kwa ubaya akafanya mambo mengine .
Yupo real nampenda ila wakati mwingine anakua mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hamuongelei aliyezaa nae mtoto wa pili?
Wewe unazani kwa kujichetua kwake kuvaa nguo za hovyo mpaka mbele ya kadamnasi ya watu, nani atakaye thubutu kumuoa.

Huyo mwanaume wake wa pili kapima kaona mtu mwenyewe dishi,limeyumba na baadhi ya nati zimedondoka.

Mchawi wa matatizo yake ni yeye mwenyewe,asimlaumu mtu.
 
Faiza anazinguaga sana wakat mwingine,bnafs nmeshindwaga kumuelewa aisee,alisema yy ndio alimuacha Sugu halafu anajidai bado anampenda,halafu kila siku mke mwenzake mbaya na yule dada hajibugi,zaidi anaonekana yy ndio mjinga asokuwa na staha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia hakuna mama yeyote angekukubali kwa huo uzungu wako, huwez kumvalia bikini mkweo. Yan vitako anavyoona mwanae na yeye avione hayo ni matusi. Hadi hapo tu kuachwa ni halali yako, km unashindwa kumheshimu mkweo hvyo hv mwenyew unaheshima ht kdgo unayojiheshimu!? [emoji848]
 
Alikuwa Ana M do vzr lbda

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu kwama ana M do vizuri ila walikua wana DOiana vizuri na inasemekana mara ya kwanza wanakutana Sugu alimchukulia tu kama demu wa kupiga na kutembea. Ila mwishoe ndio hivo waliishia kuishi kama mke na mume. Na mwisho wa siku wanaume hawaangalii tu unavyomfurahisha kitandani anahitaji na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake Kama Hawa hata kwa ndoto siwez kujipotezea muda nao a bitch has karma
 
Back
Top Bottom