Huyu nlikaa naye jirani yeye alipanga nyumba Ile aliyekuwa akiishi mpiga picha wa kingwaJongwe na dua zote hizo hukurudi, wewe kisiki.
Wazungu pia wako wastaarabu na washenzi. Mtu anafanya vituko tunaambiwa ni uzungu mwingi mmh mbona Kate Middleton hana vituko hivyo?
😂😂😂😂Mmmh sky kate mbali sana sema faiza role model wake ni kim kardashian na nduguze au beyonce
Wamezaa lkn hakukuwa na ndoa.Nimeona neno mama mkwe na pia kwamba wana mtoto, hiyo peke yake inatosha.
Na ananikera hapo tu. Kuna mambo ni bora ukae kimya. Hlf anaonekana mjinga maana mke wa sugu hamjibu chochote. Angeacha kumzungumzia sugu kila mara tena kwa ubaya akafanya mambo mengine .Huyu dada kuna muda namuelewa na kuna muda anazingua. Sijawahi kuelewa kwanini anamng'ang'ania Sugu wakati anasema yeye ndio alimuacha Sugu. Alimtukana sana mama Sugu kwasababu sizizo eleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unazani kwa kujichetua kwake kuvaa nguo za hovyo mpaka mbele ya kadamnasi ya watu, nani atakaye thubutu kumuoa.Kwanini hamuongelei aliyezaa nae mtoto wa pili?
Hawa ndo wasiosoma habari na kuelewa
Alikuwa Ana M do vzr lbdaHuyu dada kuna muda namuelewa na kuna muda anazingua. Sijawahi kuelewa kwanini anamng'ang'ania Sugu wakati anasema yeye ndio alimuacha Sugu. Alimtukana sana mama Sugu kwasababu sizizo eleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu kwama ana M do vizuri ila walikua wana DOiana vizuri na inasemekana mara ya kwanza wanakutana Sugu alimchukulia tu kama demu wa kupiga na kutembea. Ila mwishoe ndio hivo waliishia kuishi kama mke na mume. Na mwisho wa siku wanaume hawaangalii tu unavyomfurahisha kitandani anahitaji na zaidi