Faiza Ally amvua nguo Ommy Dimpoz

Faiza Ally amvua nguo Ommy Dimpoz

Sasa si ukamwambie uko mzee.. sisi kutuandikia waraka wote uo ata hayatuhusu
naijatwittersavages-20190630-0002.jpeg
 
Ila wewe unapendelea wanaume wengine wakitoa tigo unawanangaaa sana...ila huyu unaona sawa tu eti kududu chake.
 
Kuna gari moja matata Ommy aliingia nayo pale Mliman city ni ndinga la maana mpaka nikawa na wasiwasi
 
Wanawake bana mnachekesha sana, sasa si ukamwandikie haya huyo Faiza kwenye page zake huko kwenye social media? Huku JF inatuhusu nini?

Utakuta hapo mnagombania bwana.
 
ila sasa warumi kwani vilienazaje hebu nipe kwanza background ya huu ubuyu!
Faiza amejikuta tu anayabwaga yote yale binamu?
 
Back
Top Bottom