Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

MaSTAR wa bongo hususani wakina dada. Heshima yenu imeishusha wenyewe kwa mambo ya kijinga kijinga. Kwa mfano unaweza kuweka deal na Wema Sepetu? YES ni mzuri na anavutia na anafaa kabisa kuwekwa kwenye madeal kama hayo. LAKINI maisha yake yakoje? Je ni mfano mzuri kwa wazazi na watoto. HAPANA uzuri na umbo lake ni bure kwa sababu ya maisha yake ya kihuni kihuni Juzi niliona clip ya Huyu mdada Akiwa swimming pool NILImshangaa sanaaaa na kama ni kweli ni yeye amajiaribia kabisa heshima yake. Wema ni mfano wa warembo wengi ambao wamehangaika kufika hapo walipo lakini maisha yao yanaharibiwa na uhuni uhuni.

Hata tungemtoa mrembo south Africa kwa ajili ya deal kama hilo ni sawa kwa maana maisha ya walembo wetu wanayaweka uchi uchi tu.
 
Juzi kati wakenya mwamkaribisha Diamond kwao kwa show ya kufa mtu mpaka wakampa na ardhi ya kujenga kwa kumkubali.

Mbona wakenya hawakulalamika??
 
Nalaumu pande zote
Wakat kweli mastaa wetu hawajiweki kibishara

Ila na wabongo tumezidi kushoboka kwa wageni, hata wao hawatushobokei kihivii
Mkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wasanii wabongo hawajajua nin wanataka kwenye sanaa yao wanaishia kulalamika tu kila siku, Unafkr makampuni yanataka msichana ambae kesho atakaa instagram uchi kujianika they are looking for standasrd and quality

Chibu kaenda kuzindua Album Kenya Safaricom wamedhamin show nzima kapewa na eneo la Kujenga,

Mungua anakupa unachostahili sio unachoomba
 
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...

Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Ila wewe pia mpambanaji naamini uko na malengo ya kuwafikia,kuwapita hao ,kdg wewe kwa humu unautofauti
 
Mkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama walituma email sawa, Hawa Dada zetu sidhani km wanamuda wa kusoma emails

Na hasa kupitia simu
 
Wabongo wenyewe kina Wema!!! Aendelee na kupromoti mpododo wake kama Mali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapate hasira ili wawe na akili,ni kampuni gani inaweza kumpa ubalozi mwanamke asiyejiheshimu?

Lini wamewahi kuona makalio ya Zari yakiwa yanaelea katika maji?

Wamekalia mambo ya kijinga tu,mpaka wanaonekana wa kawaida,kuwapa ubalozi ni kuichafua kampuni au biashara yako.

Mtu pekee ambaye mambo yake pengine anafanya kwaakili ni Jokate Mwegelo,huyu pengine unaweza kumpa ubalozi.

Wanawake mastaa wa kitanzania wengi wao hawajiheshimu na wanaonekana wa kawaida sana!
 
Kwa mtazamo wako unaona mbongo gani angefaa kupewa hilo deal?
 
Mkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna braza mimi nimeshuhudia wabongo maeneo mengi hatuaminiani kama wenzetu.

Nyie mnaongelea kuonesha matako mbona Zari ana mkanda wa ngono kabsaa!
Hakuna cha kujitetea wabongo level ya kupendana badoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…