Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Wapo bizee kuonyesha wowowo...hawana hata time kutafuta dili kama hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi kati wakenya mwamkaribisha Diamond kwao kwa show ya kufa mtu mpaka wakampa na ardhi ya kujenga kwa kumkubali.Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa
Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana
Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.
Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
FactHahaha, uwezo wenu wadada wa kibongo ,ni kuchuna mabuzi,kuonesha ma.tako ,kucheza vigodoro
Mkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nalaumu pande zote
Wakat kweli mastaa wetu hawajiweki kibishara
Ila na wabongo tumezidi kushoboka kwa wageni, hata wao hawatushobokei kihivii
Wabongo tunalialia sana tunataka upendeleo kwenye capitalist world toka kwenye kampuni binafsiWasanii wa bongo wengi hawana uelewa wa mambo ya biashara mkuu.
Hawa ni wa kuhurumia tu.
Ila wewe pia mpambanaji naamini uko na malengo ya kuwafikia,kuwapita hao ,kdg wewe kwa humu unautofautiDada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...
Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
Naogopa sana kuwa maarufuIla wewe pia mpambanaji naamini uko na malengo ya kuwafikia,kuwapita hao ,kdg wewe kwa humu unautofauti
Na wardaMajina ya faiza ni sheedah na wala sishangai
Kama walituma email sawa, Hawa Dada zetu sidhani km wanamuda wa kusoma emailsMkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mtazamo wako unaona mbongo gani angefaa kupewa hilo deal?Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa
Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana
Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.
Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
Hamna braza mimi nimeshuhudia wabongo maeneo mengi hatuaminiani kama wenzetu.Mkuu hapo ukute hao jamaa walituma emails kibao kwa mastar wakibongo lakin hawakurespond kwa wakati..wapo bize na kuonyesha wowowo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alete ilo povu tufulie viatuFaiza kweli hilo ni povu