Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mbona kuna wana mitindo watanzania wanapewa matangazo huko south?Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa
Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana
Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.
Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
Mmezoea biashara za kiundugu na kuonea huruma ndio maana mnaona mlistahili...
Anayejua anayestahili kuuza bidhaa fulani ni mwenye bidhaa,,,
Dunia imekuwa kama kijiji na ni soko huria hakuna mipaka kwenye kufanya biashara,,,,,,
Hivi huyo Faiza naona nut zimaechia kabisa yani kweli ana shangaa na kuwadanganya kuwa eti hakuna kitu kama hicho duniani?
Hivi kweli hata kama sina akili naweza mpa chizi kama Faiza deal la kutangaza bidhaa yangu?
Watu wanaangali kama unaweza uza bidhaa sio kwakuwa ni mtanzania basi inatosha...