Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Bwana wee hiyo hata mimi namuunga mkono Faiza, tatizo sisi wabongo tuna roho mbaya hatupendani mawivu yametujaa

Hapo unaweza kuona Noel ndo kahusika kumbe kuna msururu wa watu nyuma yeye anatumika tu, huwezi jua kuna wabaya wa mondi, wa hamisa, wa wema yaani watanzania tunachoweza ni majungu na kukomoana

Eti mnasema mastar watanzania hawajiheshimu huyo mganda anajiheshimu kwenye nini wakati na yeye ni wale wale tu.

Ama kweli nimeamini nabii hathaminiwi kwao huko kwao Uganda hana dili yoyote ya maana ila huku kwetu tunamuona malaika na hata aliyemfanya akajulikana kwa wengi sasa wanamtukana eti hana akili mwanamke ndo mwenye akili, angekuwa hana akili angemzalisha watoto wawili
Mbona kuna wana mitindo watanzania wanapewa matangazo huko south?
Mmezoea biashara za kiundugu na kuonea huruma ndio maana mnaona mlistahili...
Anayejua anayestahili kuuza bidhaa fulani ni mwenye bidhaa,,,
Dunia imekuwa kama kijiji na ni soko huria hakuna mipaka kwenye kufanya biashara,,,,,,
Hivi huyo Faiza naona nut zimaechia kabisa yani kweli ana shangaa na kuwadanganya kuwa eti hakuna kitu kama hicho duniani?
Hivi kweli hata kama sina akili naweza mpa chizi kama Faiza deal la kutangaza bidhaa yangu?
Watu wanaangali kama unaweza uza bidhaa sio kwakuwa ni mtanzania basi inatosha...
 
Nyie hamuwezi jukwaa deal kwa sababu mna longolongo sana

Ova
 
Mimi niko Uganda nafanya Kazi huku ( kisheria) kwani huku hakuna wenye ujuzi kama wangu!!! mbona kuna wafanyakazi kibao wa kitanzania wako nje? by hao ma model wanaofanya kazi US vipi? au wamebadili Uraia?
 
Dada amefanikiwa kuyabrand maisha yake
Amefanikiwa kujiweka high profile...

Binafsi naweza kumfananisha na baadhi ya wadada kama Jokate,nancy,Caroline,klyn na baadhi yao
Wameweza kujipa hadhi fulani hivi.
joketi toa kwenye list
 
Zari over continent....ana pesa...ana international PR ..u? Subiri ijumaa tuwaone shilawadu tuwacheke tukaoge tukalale siye...star?
.
 
Kwani zari si amezaa raia wa wili wa Tanzania nillan na latiffa ushamba tu vp hii ni jumuiya ya Afrika mashariki kwani yeye kakatazwa kwenda uganda kufanya endorsement akili za kimasikini we endelea kuuza vichupi vya beach utaungishwa. Akili za uyu faiza ovyoo kwanza yeye nae ni celebrate au kwavile kazaa na kamanda pambana na hali yako! Sikuzote mgawa riziki ni Mungu na wambili havai moja.
 
Mtu Hata kama hauna pesa unapaswa kujiheshimu ...sasa zari tangia awe na diamond ameweza kuwa mwanamke flani amazing ....anajielewa mpaka ameamua kumbwaga domo....sasa hona wema ambavyo ajieshimu kuzaa azai aeleweki..yuko nabashite tu....uyo Faiza ally anapiga picha za uchi yuko chooni anakunya..Mara apige picha uchi yuko leba ...ajielewi....kujieshimu ndo ubakubalika...sana.
 
Ni Ujinga kulaumu wakati sie hatuna mikakati ya kujitangaza na kujiweka brand zenye manufaa!Ma staa wanaozungumziwa wote hawana shughuli rasmi kwa jamii ikawatambua michango yao,nani sasa ukamtangazie wakati wewe mwenyewe haujui maana ya biashara!Kazi Majungu,wivu na fitna tuuu mpaka mwisho wa dunia
 
Back
Top Bottom