Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Wasanii wa Tanzania wanataka kupata dili za kibiashara bila kuzihangaikia kama Diamond. Pia wanasubiri waletewe dili ktk sahani.

Biashara inahusisha promotion na marketing na brand ya muhusika aliyojijengea itakayokwenda kurahishisha promotion na marketing ya biashara au vifaa vyao.

Hivyo wasanii wajiongeze katika kutambua au waende shule kubaini kuna nini ndani ya promotion, sponsorship, product ambassadorial nomination, marketing na brand ilikujifunza na baadaye watambuliwe kirahisi na kukubalika kitaifa na kimataifa waweze kupata dili.
 
Vigezo vyangu ni vyote
Utaifa, wange mpa mbongo
Na wapo wabongo wengi tuu wange stahili, kina Faraja Nyalandu,, kina Millen Magesse, Flaviana Matata na Jacklynn Mengi etc yaan kampuni ndio kazi yao ingefaa wachunguze katika watu million 54 kwa nn ukose mtu bhana labda uwe mvivu.
Tena wangekuwa watu decent kuliko Zari na sioni Zari ange wapitia wap hasa tena ukizingatia kwa sasa kuna group kubwa tu la wabongo hawamkubali zari.
Wabongo tumezidi shobo kwa wageni period.
 
Kila siku huwa najiuliza hivi Mh Sugu alikosa wa kuzaa nae ila huyu FAIZA ALI
Dem mwenye sura kama anapuliza moto
Akitembea utafkiri kasahau chenchi dukani[emoji1321]
 
Hakuna utaifa kwente biashara ndugu, kampuni yenyewe ya kikorea alafu wewe unaongelea utaifa? Huyo daimond waTanzania anapata endorsement Kenya, sasa na wao wakiangalia huo utaifa unafikili itakuwaje? Wabongo tunapenda sana kuwapangia watu cha kufanya tena kwa hoja pumba kama sijui uzalendo, Sasa unanitajia flavi na millen, are you seriously? Unaamini kuwa pesa waliyompa zari kwenye hii endorsement ingewatosha flavi na millen? Ndio maana wabongo tunaonekana sometimes ma mburula! Yaani uangaike na flavi na Millern wanaochukua ma dili ya word wide huko U.S aje akutangazie bidhaa ambayo market yake inacover nchi moja tu? Hao watu wangekuwa cheap hivyo ungewaona sana kwenye endorsement za hapa. Na kuhusu k-lyn ndio nimeamini hauna unachokijua, kabisa k-lyn akipigwe mapicha ya kuwekwa kwenye cover za diapers. Basi una kazi
 
Zari sheria inamtambua kuwa Mtz kuppitia diamond
 
Mlisho Mpoto alipewa dili la kuandaa nyimbo ya kuisifia TZ akamuweka Bella mkongo ina maana wasanii wote TZ hakuna alie weza kuiba ubeti wa bella
 
Hao wote uliowataja hawafikii fame ya Zari kwa sasa hapa Tanzania!

Biashara inatangazwa na watu maarufu brother!

Lakini pia watanzania tuamke, tujipiganie na sio kutegemea kupewa kila kitu tukiwa tumekaa

Biashara ni uwanja wa mapambano, sio sehemu ya kufantiana hisani!

Mbona diamond anazipata hizi deals? Au na yeye anahurumiwa?
 
popote pale wazawa kwanza ola je mnabebeka ndo swali, hoja ya faizah ni sahihi 100% BUT wako vizuri
 
Sijajua umepimaje hiyo fame , lakin ndio ukweli huo wako weengi wangepewa, yaan hata wange mpa hamisa mobeto ninge waelewa,
nyie mnasema wabongo tumezubaa nin cha maana ambacho Zari ka kifanya kuwazidi wabongo?
Hii kitu naiona hata kwenye mashule huko, eti wamiliki wanaamin walim wa kenya na uganda ndio bora kuliko wa kwetu hahahaha Tanzania hatupendani mweeh.

Nitajie kampuni gani za Uganda zita mpa dili diamond kabla ya kuwapa watu wao wa uganda.
 
Akitaja uniite
 

Sasa kama wanashinda kuonesha mawowow
Unataka nani awape kazi ya ubalozi?

Huyo faiza si ndio yule ametoa clip anazaa
Na aliwahi kuvaa pampas siku ya birthday yake
Sasa nani ampe ubalozi mtu kama huyo
 
Safaricom Kenya wamempa deal diamond!

Una swali jingine?
 
Nani ana mpango na hao wake wa waheshimiwa? Hawana amsha amsha yeyote wapo kama hawapo yani. Ishu ni kuhakikisha sales figure na brand awareness.

I think Zari ni right candidate tokana na kwamba yupo kwenye peak kwa sasa achilia mbali millions of followers aliopo nao katika social networks. Hata hao wanafamilia wengi wako inspired kumfollow na kutaka kujua nini kinaendelea katika maisha yake ya kila siku.

Nani anamfatilia Nancy sahivi, au Faraja Nyalandu? Wabongo kwa kupenda umbea lazma wafatilie watu wenye kiki mtandaoni na ukiwa unafahamika kwa mengi mazuri yanaoendana na fursa iliopo bas umewini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…