Wasanii wa Tanzania wanataka kupata dili za kibiashara bila kuzihangaikia kama Diamond. Pia wanasubiri waletewe dili ktk sahani.
Biashara inahusisha promotion na marketing na brand ya muhusika aliyojijengea itakayokwenda kurahishisha promotion na marketing ya biashara au vifaa vyao.
Hivyo wasanii wajiongeze katika kutambua au waende shule kubaini kuna nini ndani ya promotion, sponsorship, product ambassadorial nomination, marketing na brand ilikujifunza na baadaye watambuliwe kirahisi na kukubalika kitaifa na kimataifa waweze kupata dili.