Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
hahaha, umeongea kauli ambayo mimi huwa namwambia zilipendwa wangu (tena aliyeikuta ndoa akang'ang'ania kumtukana mke wangu aachike yeye aolewe na mimi)....siku zote huwa namwombea kwa Mungu apate mwanaume aolewe, kila nikiongea naye huwa namshauri toka moyoni atafute mwanaume yeyote awe mke ili asihangaike na wanaume za watu kwasababu sio kwa usumbufu ule. amenizalia mtoto na anapenda pesa mchaga yuleee.ATAFUTE MWANAMUME AOLEWE
na kwa huyu faiza, hakika atafute bwana aolewe, pamoja na kwamba kusema ukweli sugu alipotea sana, mwanamke kama huyo alivyo tu hata kufanya naye mapenzi mara moja tu ni mkosi mkubwa sana, pengine ndio maana anawekwa ndani huko mbeya kwasababu alitembea na mdada wa aina hii. hata usoni tu anaonekana kopo.