Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Watu wenye maisha magumu mnamatatizo sana

Yaan ugumu wako wa maisha unataka uhamishie kwangu siyo

Mimi namaisha yangu ya kuponda raha kijana wa kisukuma sina shida kabisa bando la kutosha walet imetuna

Shida zako wapelekee wa nyumban kwenu
Hahahahahaha nacheka kwa dharauuuuu pole sana
 
Hii sasa ina kiambatanisho! Nami nimeona udhungu wa wabongo
 
Dah kuna kina mama hawazithamini nyuchi zao kabisa
 
Na mpuuzi mwenyewe analalamika imekuaje wamefuta picha yake aty mambo madogo!..kuna wanawake wengine wapuuzi sana, kama dada yako sijui unamuangaliaje!
 
Eti siri ya daktari na nani sijui. Kuna watu wakijifungua wanaomba baba awepo na anaingia chumba cha kujifubgulia. Kuna watu wanaomba wachukuliwe video wakijifungua.
Kosa lake nini iwapo kaomba picha zipigwe wakati anajifungua?
 
Kosa lake kuzipost hadharani...... Yeye Kama alitaka kumbukumbu zake,,,, Hakuwa na sababu ya kupost .
 
Eeeeeeh bwana eeh hatar sana akiwa mkeo huyu atakuua tu kwa presha na BP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…