Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Watu wenye maisha magumu mnamatatizo sana

Yaan ugumu wako wa maisha unataka uhamishie kwangu siyo

Mimi namaisha yangu ya kuponda raha kijana wa kisukuma sina shida kabisa bando la kutosha walet imetuna

Shida zako wapelekee wa nyumban kwenu
Hahahahahaha nacheka kwa dharauuuuu pole sana
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Tarifa kutoka wizara ya afya zinasema kuwa madaktar wote waliohusika na kukubali had mwanadada faiza ambaye ni mke wa mbunge wa chadema sugu aka joseph kujipiga picha ya utupu akiwa anazalishwa watachukuliwa hatua kali za kisheria

Picha hiyo faiza alijipiga akiwa ndo anazalishwa akiwa uchi wa mnyama kibumbu kikiwa kimetuna kimevimba

Wizara imedai kuwa chumba cha kuzalisha huwa ni siri na harusiwi mtu yeyote kuingia tofaut na amayezalishwa na madaktar wenyewe

Pia chumba cha kuzalishwa haparuhisiwi kuingia kamera

Picha imevuja kibumbu kiko nje

Picha hii hapa
View attachment 643130

Ni hatar sana mazee


LONDON BABY
Dah kuna kina mama hawazithamini nyuchi zao kabisa
 
Na mpuuzi mwenyewe analalamika imekuaje wamefuta picha yake aty mambo madogo!..kuna wanawake wengine wapuuzi sana, kama dada yako sijui unamuangaliaje!
 
Eti siri ya daktari na nani sijui. Kuna watu wakijifungua wanaomba baba awepo na anaingia chumba cha kujifubgulia. Kuna watu wanaomba wachukuliwe video wakijifungua.
Kosa lake nini iwapo kaomba picha zipigwe wakati anajifungua?
 
Eti siri ya daktari na nani sijui. Kuna watu wakijifungua wanaomba baba awepo na anaingia chumba cha kujifubgulia. Kuna watu wanaomba wachukuliwe video wakijifungua.
Kosa lake nini iwapo kaomba picha zipigwe wakati anajifungua?
Kosa lake kuzipost hadharani...... Yeye Kama alitaka kumbukumbu zake,,,, Hakuwa na sababu ya kupost .
 
Eeeeeeh bwana eeh hatar sana akiwa mkeo huyu atakuua tu kwa presha na BP
 
Back
Top Bottom