Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Mimi binafsi namlaumu mhesh Sugu kwa sababu ukibaitika kuitwa mhesh inatakiwa uwe makini hata kwa mademu unaotembea nao ,cheki sasa huyu manzi anavyomuahaibisha Mheshimiwa.
Alikuwa na kabla au baada ya kupata uheshmiwa? Sugu nae ni yule yule kupata uheshimiwa huwezi dilika overnight...
 
Hata wewe unapaswa kuchukuliwa hatua kali za kisheria as per cyber crime act kwa kusambaza picha hii kwenye mitandao!!
 
Hazipiti sekunde hiyo picha itatolewa. Ila si mke wa sugu tafadhali rekebisha.
 
Faiza ataanza kujuta hao watoto wake wakifika miaka 18 na kuendelea na kuanza kuona picha chafu za Mama yao. Wataanza kumdharau na atajisikia vibaya sana...
 
wanawake baadhi yenu acheni kujidhalilisha. mnajizalilisha wenyewe kuanzia mavazi hadi miili yenu
 
Sugu hajawahi oa...huyi kazalishwa tu....
Hana tiket ya kuitwa mke....
Hlf this chick ni kichaa...
Aliachwa na sugu akawa analia hovyo hovyo kwa zanaradi...
Leo hii anasema yeye ndio kamuacha sugu..
 
Nenda kambi yoyote ya jeshi uwe unajipiga vi-selfie kila kona, halafu useme picha najipiga kwa idhini yangu.

Kila mahali na utaratibu wake, na zaidi si maadili mama mtumzima kujipiga picha unazalishwa.
Au ni sifa nzuri?

Unalinganisha kambi ya jeshi na mwili wa mtu

Nyie askari kuweni na akili hata kidogo
 
At a na yy wamshitaki maana amezidisha misifa isiyokuwa na faida
 
Hii habar umeipata wapi kama serkali wameliingilia hili jambo? Kwasababu nilipo itizama ilepicha kiukweli imenikera mno- natamani apate adhabu inayo-stahili aipate.
 

Yote hayo hayalingani na kuzaa/kuzaliwa!!

Tafuta mengine.
 
Sidhan kama aliruhusu itakua amefanyiziwa nawatu wa sugu ili azid kuaibika hawez ruhusu kitu kama hii hapa nakataa
Yule chizi ww kama mailman city alienda kwene hafla kimsambwanda chake kipo waz.pia aliwahi VAA pampas kwene besidei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…