RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Alikuwa na kabla au baada ya kupata uheshmiwa? Sugu nae ni yule yule kupata uheshimiwa huwezi dilika overnight...Mimi binafsi namlaumu mhesh Sugu kwa sababu ukibaitika kuitwa mhesh inatakiwa uwe makini hata kwa mademu unaotembea nao ,cheki sasa huyu manzi anavyomuahaibisha Mheshimiwa.