Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sijui ni hospitali gani, lkn nyingi tu binafsi wanaruhusu, hata kupiga picha hawakatazi, niliingia na simu lkn picha nilizopiga ni za mtoto pekee.Kwa hiyo huyu Faiza kajifungulia Agakhan au? Make huu ni utamaduni wa kizungu, huku kwetu afrika tukio hili tunajua ni faragha.
Tatizo ni huo utamaduni wa kiafrika lakini kwa upande wangu sidhani kama Faiza ana kosa lolote la kisheria alilovunja!
Kama ipo sijawahi isikia.