Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Kwa hiyo huyu Faiza kajifungulia Agakhan au? Make huu ni utamaduni wa kizungu, huku kwetu afrika tukio hili tunajua ni faragha.
Sijui ni hospitali gani, lkn nyingi tu binafsi wanaruhusu, hata kupiga picha hawakatazi, niliingia na simu lkn picha nilizopiga ni za mtoto pekee.
Tatizo ni huo utamaduni wa kiafrika lakini kwa upande wangu sidhani kama Faiza ana kosa lolote la kisheria alilovunja!
Kama ipo sijawahi isikia.
 
Kama hiyo sheria ipo ni sawa lakini makosa ni yao na si yetu, hakuna wodi niliyoingia wameandika hakuna kupiga picha. Hiyo sheria wengi hatuijui.
Ni kweli hizo sheria zipo tu kwenye makaratasi tu hawaziweki wazi kwa watu ila wahudumu wanaozingatia miiko ya kazi zao kamwe hawaruhusu kitu hiki na pale ambapo unaweza kugusa masilahi yao ndipo unaweza kuhabarishwa kuwa ni kinyume na ni kosa tena ukaoneshwa na vifungu vya kutosha tofauti na hapo ni mwendo tu wa kuselfika ndani ya wodi na hakuna anyejali.
 

Uliogopa kupiga mbututu kama alivyofanya faiza?!
 
MIMI HUWA NAFIKIRI WAKIWA WAJAWAZITO HUWA HAWARUHUSIWI KUVUTA MAJANI.ILA TUNASHUKURU NA MIMI NIMESHUHUDIA KITU SUGU ALIKUWA ANAKULA.HAWA BONGO MOVIE BWANA KILA KITU NI MOVIE
Mzazi mwenzie na Sugu Motochini katika ubora wake. Uzungu nao changamoto kweli kweli.
Kapost katika page yake ya Instagram
 
MIMI HUWA NAFIKIRI WAKIWA WAJAWAZITO HUWA HAWARUHUSIWI KUVUTA MAJANI.ILA TUNASHUKURU NA MIMI NIMESHUHUDIA KITU SUGU ALIKUWA ANAKULA.HAWA BONGO MOVIE BWANA KILA KITU NI MOVIE
Mzazi mwenzie na Sugu Motochini katika ubora wake. Uzungu nao changamoto kweli kweli.
Kapost katika page yake ya Instagram
 
Nasikia alikuwa anamwomba Faiza tigo ndio ushenzi wa Sugu etyi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo alivyokuwa anamlilia alikuwa amemisi Tigo? Ila yule anaonekana alikuwa mhuni mhuni sana wala siwezi kushangaa
 
Hawa ndo watafanya Mungu achukue maamuz magum ya kuiangamiza dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…