Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Kilicho kipya hapo ni hiyo picha tu kupostiwa, ila hiyo habari uliyoandika ni upupu mtupu..

Inaonyesha mleta post hujui chochote unakurupuka tu na stori zako kichwani na kuanzisha uzi.
Fyatu
 
Huyu mbona wakati yuko na Sugu alikuwa hana vituko hivi..Sijui ni stress za kuachwa..Simuelewi
Kuna kipindi anamtukana sugu weeee

Kuna kipindi anaposti kuwa anampenda

Mwezi ukiwa mchanga anamshambulia Happy demu.mpya wa sugu weeee


Na inawezekana sio stress za kuachwa.....ila labda sugu alikuwa anamcontrol na hakutaka upuuzi...na kwa kuwa alikuwa na expectation za kuwa mrs mbunge...mmiliki wa mimali ya sugu akawa anaficha makucha......
 
Point of correction. Hajajifungua leo....ni kitambo,mwaka huu huu tho
Ila huu udhungu utatutokea puani siku moja..
Kumbe anakidume kingine sasa makelele kwa sugu ya nini!
 
Wanaume Wa mikoani naona mnafanya yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…