Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Picha ya kibumbu iko wapi?
 
Unajua mi demu nikishapiga nae story dakika 10 tu najua huyu kichwani zipo ngapi, sasa nashangaa Sugu alikuwa anakatika tu mpaka mimba yaani alikuwa ajagundua tu kama huyu chizi?
Hadi vichaa wanapewa 'vibendi' sembuse huyo chizifresh mpenda kiki?
 
Mkuu picha ni muhimu kuliko hbr yenyewe
 
Siyo IG tu naamini suala lake liko mikononi mwa vyombo vya dola na hao wanao repost sheria ya muswada wa habari ya mwaka jana inakata kusambaza picha yoyoye isiyo maadili.
sheria ya muswada Wa Habari??? hahahahahaah unajua umeandika vituko?? hahah ulitaka kusema sheria ya makosa ya mtandao au? hqhahh u've made my day! hahahah
 
We need a multicultural conception of the Society and the Individual... Vingnevyo tutaumiza vichwa na kupoteza mda kujadili vitu vya kawaida tukidhani ni mambo ya kushangaza...
 
Huyu mama ni haramu kwa mambo yake. Nadhani mliomtuma kumsumbua sugu ili apotee kisiasa ndiyo hao hao mnaomtuma na kupost ujinga huu.
 
Faiza ni msichana mzuri lkn nafikiri kwa mtazamo wangu kuna nati imelegea.anahitaji ushauri nasaha.
 
Mkuu mbona pocu sana??, embu tuambie tatizo nini kwa hiyo picha kwa kuainisha wazi si kujumuisha mambo

Je, ni kinyume na maadili?, (kivipi na yapi)

Je, ni picha chafu? (fafanua)

Je, umejifunza jambo lolote baya? (Liorodheshe)

Je, zile tamthilia zinazoonesha wanawake wakijifungua nazo ni mbaya? Mfano Apocalpto?


Sidhani kama kuna dini inakataza kuelezea tukio la kujifungua mwanamke
 
Sugu kama anampenda mwanae sasha akamchukue mapema. Faiza ana matatizo sio bure na wala sio uzungu kama anavydhania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…