Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha Faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama, kweli hizi picha huenda alizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged.
Nimeshtuka nakuogopa kuona Soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha, angekuwa dada yako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu.
Kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi.
Cc Ummy mwalimu
Picha ninayo siwezi kuiweka humu