Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Acha zako wewe, ni kwamba nawe unasapoti huu ujinga!!!

Binadamu sasa tumekua kama wanyama duh
Mkuu kusudi haina pole...!
kama ameamua kutupa elimu ya bure ya child delivery ndo tukatae? za youtube zimetutosha tunataka kuona ya mbongo mwenzetu live wakiwa leba wanajifunguaje....we kama hutaki akitupia usijishuhulishe kuiangalia wala kuitafuta..delete before watching.
 
Mzazi mwenzie na Sugu Motochini katika ubora wake. Uzungu nao changamoto kweli kweli.
Kapost katika page yake ya Instagram


Mbona naona kuna pampas hapo kwenye kitanda au ndio alijiwahi na yale mambo ya kupush halafu kuna vitu vinatoka upande mwingine
 
Kila MTU anajitambua yeye ni agent wa nani hapa duniani.

Wazungu wameshikilia hadi mindset za waafrika.
 
Swali la kwanza ni Home delivery kwa mkunga wa jadi au hospitalini.

Nurse gani au dr gani aliruhusu mtu kupiga picha mama akiwa katika hali hiyo?

Ninachojua labour ward ni strickly mtu asiye medical personee kuingia na kuna Bandiko USIINGIE BILA RUHUSA.

Plse medical personee Ethics and dignity plus confidentiality is very crucial.
Mgonjwa atakupenda pale tu utakapomtendea haki kinyume na hapo kazi itakua chungu.
 
Mbona picha ya kawaida tu hiyo. Angeweka ambayo inaonyesha wakati anapasuka.
 
Mkuu kusudi haina pole...!
kama ameamua kutupa elimu ya bure ya child delivery ndo tukatae? za youtube zimetutosha tunataka kuona ya mbongo mwenzetu live wakiwa leba wanajifunguaje....we kama hutaki akitupia usijishuhulishe kuiangalia wala kuitafuta..delete before watching.

Sawa mkuu mimi sitataka ata kuiona [emoji74][emoji74]

Daah
 
Nini cha ajabu hapo?

Kuzaa ama?

Kwani nyie wote mnaoshangaa mlizaliwaje? Na nyie ambao mshazaa mlizaaje kwani?

Kwani hapa Tanzania baadhi ya wanawake huwa hawaendi kwenye labor nyumbani, mitaani, na kwingineko kusiko spitalini?

Mimi nishawahi kumsaidia mdada mjamzito kujifungua mwanae nje kwenye parking lot ya grocery store kwa sababu that’s where her water broke and she needed help.

Hakuona aibu na wala sikuona ni kitu cha ajabu. Toka lini kitendo cha kuleta kiumbe hai kingine hapa duniani kionekane au kichukuliwe kama ni taboo?

Y’all need to change. This has nothing to do with Uzungu or whatever.

This is about life. A new life. And there’s nothing wrong with that.
 
Mwenye picha anataka isifutwe usjkute mtetea haki mkuu kuna wanawake hawateteki
 
Smart, beautiful and talented women don't
desperately need the type of attention Faiza Ally ooks for. I call it a desperate cheap move on her part. To tell Bette Midler

"it's past her bed time", shows her lacking of common sense.

Get a grip on reality Faiza you are a mother, Wife show some damn class. Shame so many young woman look up to you. Not sure why but this was your most desperate attempt.
 
Kuna picha zina sambaa mtandaoni zikimuonyesha Faiza Ally akiwa leba anajifungua uchi wa mnyama, kweli hizi picha huenda alizipiga kwa kupenda kwake huyu dada huwa namchukulia kama mentally challenged.

Nimeshtuka nakuogopa kuona Soudy umepost kwenye IG page yako bila kujali maelezo uliyayaambatanisha, angekuwa dada yako au mama yako ungeweza kufanya hivyo au ndio unatafuta umaarufu.

Kitendo hiki ni cha kishetani kinyume na maadili na pengine ni kinyume na sheria na nikikutana na wewe mtaani naweza kukuchukulia sheria mikononi.

Cc Ummy mwalimu

Picha ninayo siwezi kuiweka humu
Mwenye picha kakasirika kufutwa picha yake sasa nini wewe kinakuwasha?
 
Back
Top Bottom