warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ila na wewe Mbasha itakua kweli unabakwa, we mwanaume gani kila Siku unachambana na akina carrmastory mara faiza mmhm, wanaume hawanaga tabia hizo bwana , kuchamba tuchie sie akina warumi mxiee[emoji23]
Ngoja nianze kutafuta ma file yako kwanza, mwanaume huwez kuandika caption y taarabu tena kwa mwanamke lazima tu kuna sehem hauko Sawa hakyamungu, ngoja niingie mzigon nifukunyue habar zako, maana huwa nakuangaliaga tu sikuelewi elewi, yan mwanaume unachambana kuliko akina warumi[emoji16][emoji16]