Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Long story short

Alienda kuomba mzigo awe analipa kidogo kidogo

Akapewa, Ila mpaka Leo hajamalizia pesa ya watu,
Duhhhh....Faiza mbona anaonekana ana maisha mazuri au ndo bongo movie
Angekua anaishi maisha yake Sasa yasingemkuta,shida ni kutaka Aishi km zamaradi au Uwoya wale tayari walishaandaliwa maisha ,yeye ni mwenzangu na Mimi angekomaa mdogo mdogo tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

🤣🤣🤣
 
sugu atalipa! Case closed
 
We mtu we mjinga ni wewe na familia yako na ndugu zako ukome kabisa kutuita Watanzania wajinga, umesikia wewe hayawani mkubwa, yaani ukome, ukome na ukome tena walahi!
Pathetic idiot [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
I
Mkuu hebu funguka...mi niliagiza vile vikoti vyao vya leather Alibaba, siku napokea hivyo vikoti hata mtoto wangu hakimtoshii
Kuagiza vitu Mtandaoni ni elimu pia. Watu wengi hii elim hawana.

Mimi kwangu 80% ya vitu vyangu naagiza Ali Baba Hadi glass na vijiko vya kulia chakula.


Kwa wewe unaeagiza nguo hakiksha unajua vipimo vyako. Ukiona nguo umeipenda ingia DM Kwa supplier ongea nae kuwa unahitaji bidhaa Fulani ya vipimo a,b,c.


Unakuta supplier ana total sales ya Dola 400,000 zaidi ya milion 800 aje kukuibia wewe shilingi 10,000.


Kingine kama huna knowledge kubwa ya kununua vitu Mtandaoni nunua vitu Kwa verified sellers Tu.

Kingine kama umepokea bidhaa ambayo hukuagiza unaruhusiwa kuirudisha.


Changamoto watu ignorant kwenye manunuzi ya mtandaoni. Kuna MTU aliona simu inauzwa Dola 2. Akaagiza kumbe kakuta ni cover la simu. Lakini hakujua kuwa Kwa chini walikuwa wameandika ni Phone case yeye akajua ni simu kumbe ni Cover la simu.


Kingine watanzania tujifunze kiingereza ni aibu.


Hii chini ni Sera ya kurudisha mzigo na kurudishiwa pesa kama umefanya manunuzi unapata mzigo usio na vigezo vyako. Ila watanzania Kwasababu ni mambumbu yanaishia kufoka eti yamepokea mzigo sio!


Halafu kingine huruhusiwi Kufanya malipo nje ya payment system ya Alibaba. MTU anaingia Ali Baba anakutana na mchina wanabadirishana namba za watsap wanafanya business nje ya mfumo. Hii ni problem. Huruhusiwi.



Watanzania tujifunze haya mambo. Jifunzeni muwe mnaagiza peke yenu.View attachment 2614032
 
Inasikitisha sana kama kweli anatapeli watu. Ndio tuna Watanzania wengi wajinga lakini hii sio sababu ya kufanyia watu uhuni kwa pesa walizotafuta kwa jasho.

Haya mambo bahati mbaya zaidi mzazi unaweza usione matokeo leo lakini zikaja kukutesa wewe na watoto wako. Dhuluma mtu hata akikuendea kwa mganga hata uwe mchungaji mapigo yatakupata maana Mungu halindi dhuluma!

Zipo familia zimeteketea tukishuhudia kuanzia baba, mama hadi watoto sababu ya dhuluma! Walianza watoto hadi baba akaokoka na kugawa mali nyingi kanisani lakini haikusaidia.

Kula jasho lako halali usidhulumu mtu chake makusudi akanungunika moyoni ( Mungu atakushughulikia) au wengine ndio anatafuta mganga na kukufanyia makafara ya laana kwako na kizazi chako! Hapo kazi unayo ndugu [emoji45]
 
Matatizo yapo na yanaeleweka sababu documents zote zipo, mifumo ya kuagiza mizigo ipo very clear hata likitokea tatizo unaweza hata usijieleze docs zikajieleza what happened. Pia usisahau risks za shipping zipo covered na insurance. Ukisoma conversation za huyo dada na wateja wake utaona tatizo ni yeye.

Kuwa agent unayeaminika lazima uwe na transparency ya kutosha sio blah blah. Umepata bahati ya wateja kukuamini kuliko akina alibaba [emoji851] kwanini usichukulie huo ni mtaji na uaminifu ndio ulinzi kwako.
 
Hahaha
 
Àhsante brother Kwa hii elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…