Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Kuna sister aliagiza vichupa vya Sanitizer kipindi kile corona imepamba moto.. mzigo haukuja kwa Wakati na ulipofika waTZ washasahau habari za kutumia Sanitizer.. hizi biashara za kuagiza ni changamoto na zina hasara sana