reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
- Thread starter
- #61
Maishaa ya show off waafrica wengi yanatuumiza kutaka kushindana tuonekane tumeyapatia maishasijui kwa nini hatujifunzi kwa wahindi, wao utawadhania masikini ukiwaona kumbe hawana mchezo na matumizi ya ovyo mpaka pale biashara zao zinapoimarika.
Namkumbuka yule Jetu Patel aliposhitakiwa kwa kesi ya rada (dola milioni 2), ukimuona ulidhania masikini fulani hivi kumbe jamaa ni milionea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app