Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Faiza Ally na kashfa ya utapeli

sijui kwa nini hatujifunzi kwa wahindi, wao utawadhania masikini ukiwaona kumbe hawana mchezo na matumizi ya ovyo mpaka pale biashara zao zinapoimarika.

Namkumbuka yule Jetu Patel aliposhitakiwa kwa kesi ya rada (dola milioni 2), ukimuona ulidhania masikini fulani hivi kumbe jamaa ni milionea
Maishaa ya show off waafrica wengi yanatuumiza kutaka kushindana tuonekane tumeyapatia maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu kinachomponza ni kushindana na Happy basi...hapo ndo ataumia mpaka aondoke duniani
Na hawezi mpata Happy
Kwanza angejua angekaa kimya wakati mwingine ukute ndoa ya Sugu na yule dada inadumu Kwa sababu ya Faiza ukichaa wake
Maana Happy ht afanyweje hawezi Toka asilani
Ila km angetulia ukute ingekua kishanuka Sasa yeye anampa Happy attention mnoo na kujishindanisha nae
Wakati mwenziwe anamrusha roho kusudi tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana Faiza, Tanzania tuna idadi kubwa sana ya watu wazima wasio na akili ukifanikiwa kuwatumia kama rasilimali katika biashara yako unatusua mapema sana.

Kampuni rasmi za kuagiza mizigo zipo, ila jitu mbumbumbu bado linataka shortcut na kuagiza kwa mtu ambaye hana hata ofisi. Stupid
Kampuni zipo na zinajulikana

Lakini,eti watu wanamkimbiliaaaa faiza [emoji1] wenyewe wanakuambia Ana brand

Ova
 
Na hawezi mpata Happy
Kwanza angejua angekaa kimya wakati mwingine ukute ndoa ya Sugu na yule dada inadumu Kwa sababu ya Faiza ukichaa wake
Maana Happy ht afanyweje hawezi Toka asilani
Ila km angetulia ukute ingekua kishanuka Sasa yeye anampa Happy attention mnoo na kujishindanisha nae
Wakati mwenziwe anamrusha roho kusudi tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabisa ...yaan anafanya happy azidi kumpenda sugu, ahisi labda yuko exceptional [emoji16]...kume anamiliki kiba 100
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]witn hamna kitu
Kiba hundred daahhhh
Shida ya Faiza ni kibri na hapendi ushauri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
sijui kwa nini hatujifunzi kwa wahindi, wao utawadhania masikini ukiwaona kumbe hawana mchezo na matumizi ya ovyo mpaka pale biashara zao zinapoimarika.

Namkumbuka yule Jetu Patel aliposhitakiwa kwa kesi ya rada (dola milioni 2), ukimuona ulidhania masikini fulani hivi kumbe jamaa ni milionea
Wahindi noma sana kula yao sasa....utachoka, wale watu wanajua kubana bajeti to the maximum point. Nili'date na mmoja arusha, Outings nyingi anasisitiza kula chakula cha bei ya chini wakati mlipaji ni mimi.....maji chupa moja tu ziletwe glass mbili, juice sasa dooh...ila alinifunza sana yule binti.[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom