Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317

MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza aliandika kuwa Wema anapenda sana ‘ving’asti’ (dogodogo) akitolea mfano Idris Sultan aliyekuwa mpenzi wake, kisha akasema kuwa anaomba Mungu asije akapata mtoto wa kiume atakayependa ku-date na wanawake waliomzidi umri.

Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, Ijumaa lilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”
 
Wema anamatatizo yake ila alishalipotezeaga hili kitambo tu sema huyu halijielewi maana kuna kipindi alimtukanaga mpaka mama wema bila sababu.Ila nadhani nyuma ya huyu kuna Zamaradi Mketema ni suala la muda tu.
 
images

images
 
Wema anamatatizo yake ila alishalipotezeaga hili chizi kitambo tu sema mibangi halijielewi maana kuna kipindi alimtukanaga mpaka mama wema bila sababu.Ila nadhani nyuma ya huyu kuna Zamaradi Mketema ni suala la muda tu.
Hapo anaingiaje Yule wa take one Kwenye huo ujinga wa hawa????
 
Kuna kila sababy ya Sugu kumkimbia huyu dada haraka sana iwezekanavyo. Tena itakuwa alimvumilia sana huyu Faiza.
 
Faiza anajifanyaga hamnazo ila haingii hata robo kwa Giggy Money, yule ndo kichaa kabsaaaa
 
Faiza anajifanyaga hamnazo ila haingii hata robo kwa Giggy Money, yule ndo kichaa kabsaaaa
Huyu Giggy anajitambua huwezi mfananisha na Faiza kabakiza kujilaza chali kkoo
 
Back
Top Bottom