Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

Faiza Ally na Wema Sepetu Ndani ya Bifu Nzito

images

images
Huyo wa chini bado ana miaka 22 hadi leo miaka imeganda
 
Faiza ana matatizo...akiamaliza kumtusi na kumdhalilisha mpenzi wa Sugu atakuja na yy ndo anapendwa na sugu au kujilizaliza kuhusu sugu akimaliza hapo atamvaa Wema bidada hebu angalia yako.
 
Huyo wema katoto ka mwaka 88 ndo kametimiza 28 mwaka huu tunakajua vizuri tuliokua tunamuona akiwa anakua pale kwao Sinza. Lakini sasa na huyu Faiza kweli kadata yeye na Wema nani mzee? Faiza mid 30's huko anaitafuta 40
 
Nimeona, pia nimeshuhudia.

Na bado kitazidi kunoga bila shaka kitaanza kufundishwa ngazi zote za elimu bongo:Sekondari hadi Chuo Kikuu...
afadhali maana hiki kiingereza!ni majanga mashuleni huko!!!
llloooohhh!!
 
afadhali maana hiki kiingereza!ni majanga mashuleni huko!!!
llloooohhh!!
Nakubaliana nawe. Ni afadhali.
Ila sasa, bado itakuwa shida tena. Wakalimani watapatikanaje kama Kiingereza hakifundishwi katika ngazi hizo?
Au wataajiriwa kutoka Kenya?
 

MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza aliandika kuwa Wema anapenda sana ‘ving’asti’ (dogodogo) akitolea mfano Idris Sultan aliyekuwa mpenzi wake, kisha akasema kuwa anaomba Mungu asije akapata mtoto wa kiume atakayependa ku-date na wanawake waliomzidi umri.

Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, Ijumaa lilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”
Sasa inatuhusu nini sisi???
 
Back
Top Bottom