PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Duh!hapa kweli sugu aliokota kimeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!hapa kweli sugu aliokota kimeo
Ndege wafafanaoDuh!hapa kweli sugu aliokota kimeo
Unajua kuna matukio katika maisha unataka uyadelete yapite usiyakumbuke kwa Sugu itakuwa ni siku aliyokutana na huyu binti.Huyo bint alilalamika kuliwa jicho na mheshimiwa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji14] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Huyo bint alilalamika kuliwa jicho na mheshimiwa.
halafu naona ushosti na zamaradi umenenepa kweli sa hv!Faiza anapenda attention...sema attention hazimpendi
halafu naona ushosti na zamaradi umenenepa kweli sa hv!
Huyo wa chini bado ana miaka 22 hadi leo miaka imeganda
hahaaaa!I mean ushosti wao umenoga mno kwa sasa HV!wako karibu kweli!Lugha inakuwa.
Nimeipenda hiyo.
Yaani wao wanakonda lakini uhusiano wao unanenepa au...?
Kweli lugha inazidi kunoga.hahaaaa!I mean ushosti wao umenoga mno kwa sasa HV!wako karibu kweli!
hahaaa!umeona eeeh!!Kweli lugha inazidi kunoga.
Kwa mtaji huu, ndo mana Kiswahili kwa sasa kitatumiwa hata na viongozi wa kuu wa nchi wanapohutubu nje ya nchi..
Nimeona, pia nimeshuhudia.hahaaa!umeona eeeh!!
afadhali maana hiki kiingereza!ni majanga mashuleni huko!!!Nimeona, pia nimeshuhudia.
Na bado kitazidi kunoga bila shaka kitaanza kufundishwa ngazi zote za elimu bongo:Sekondari hadi Chuo Kikuu...
Nakubaliana nawe. Ni afadhali.afadhali maana hiki kiingereza!ni majanga mashuleni huko!!!
llloooohhh!!
Sasa inatuhusu nini sisi???
MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza aliandika kuwa Wema anapenda sana ‘ving’asti’ (dogodogo) akitolea mfano Idris Sultan aliyekuwa mpenzi wake, kisha akasema kuwa anaomba Mungu asije akapata mtoto wa kiume atakayependa ku-date na wanawake waliomzidi umri.
Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, Ijumaa lilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”