wapo watakaosoma viingereza!maana nchi nyingi dunian zinatumia lugha zao na wapo wanaoongea lugha za kigeni pia!mfano China,India nk!Hvyo hata sie ni vema tutumie lugha yetu maana Hiki chiingereza hiki hapana!!Nakubaliana nawe. Ni afadhali.
Ila sasa, bado itakuwa shida tena. Wakalimani watapatikanaje kama Kiingereza hakifundishwi katika ngazi hizo?
Au wataajiriwa kutoka Kenya?
wapo watakaosoma viingereza!maana nchi nyingi dunian zinatumia lugha zao na wapo wanaoongea lugha za kigeni pia!mfano China,India nk!Hvyo hata sie ni vema tutumie lugha yetu maana Hiki chiingereza hiki hapana!!
ndio wanadai haki sawa kwa huu wanaouwaza
MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza aliandika kuwa Wema anapenda sana ‘ving’asti’ (dogodogo) akitolea mfano Idris Sultan aliyekuwa mpenzi wake, kisha akasema kuwa anaomba Mungu asije akapata mtoto wa kiume atakayependa ku-date na wanawake waliomzidi umri.
Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, Ijumaa lilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”
hapana isiwe lugha ya ofisi Ila ikitokea ulazima ndo izungumzwe kwenye muktadha maalum may na hata mikataba ianze kusainiwa kiswahili ili ieleweke kwa watu wote!!Kwanini sasa hicho Kiingereza kiwe ni lugha ya kiofisi?
Hivi kwa mfano mikataba inayosainiwa huwa katika lugha ya Kiswahili? Tuanzie hapo...
hapana isiwe lugha ya ofisi Ila ikitokea ulazima ndo izungumzwe kwenye muktadha maalum may na hata mikataba ianze kusainiwa kiswahili ili ieleweke kwa watu wote!!
kama mchakato wa kuhamia Dodoma ulivyoanza basi na kuanza kutumia kiswahili kwenye mtaala wetu uanze fasta!
usemavyo ni sawa lakini km kiswahili kitatumika kufundishia basi hata makazini lugha ya mawasiliano Iwe kiswahl ktk nyanja zote hata mfano wageni wanaokuja kutoka nje kusoma nchini kwetu yapaswa nao wajifunze pia kiswahili km lugha ya mawasiliano!Naogopa kukubaliana nawe moja kwa moja. Hilo la kufanya Kiswahili kiwe cha kufundishia ngazi zote ni sawa na huo "ufasta" wa kuhamia Dodoma "fasta".
Hofu yangu, watoto wa maskini watasomeshwa kwa Kiswahili ila watoto wa viongozi na wenye nazo watosoma kwa Kiingereza na hatimaye hao ndo watakuwa wakalimani wa watoto wa maskini watakaofanikiwa kupenya kwenye "system".
Muhimu: Uimarishwe mfumo wa ufundishaji wa lugha ya Kiingereza. Lugha hii ni muhimu sana watu wapende au wasipende....
usemavyo ni sawa lakini km kiswahili kitatumika kufundishia basi hata makazini lugha ya mawasiliano Iwe kiswahl ktk nyanja zote hata mfano wageni wanaokuja kutoka nje kusoma nchini kwetu yapaswa nao wajifunze pia kiswahili km lugha ya mawasiliano!
Hvyo kiingereza kisiwe na umuhimu sana ktkt nchi yetu!
kitakua sio dili maana lugha kuu ya uchumi ni kiswahili so we ht ukiongea kiingereza kwetu ukija utapaswa ujue kiswahili kwanza ndo tuelewane!Yaani hapo sasa, nionavyo mimi tutatengeneza matabaka.
Kiingereza kitakuwa bidhaa adimu sana na ghali kuliko hata sukari ya sasa baada ya kupigwa marufuku kuagizwa kutoka nje ili kuongeza tija kwa viwanda vya ndani.
Ikiwa hivyo, itafikia mahali atakaye ongea Kiingereza kama si familia ya walio kwenye "system" au wakubwa, basi ataitwa huyo mzungumzaji ataitwa msaliti.
Amejuaje Kiingereza wakati kimepigwa marufuku? Yaani itakuwa nchi ya ajabu sana kwa karne hii ya utandawazi....
kitakua sio dili maana lugha kuu ya uchumi ni kiswahili so we ht ukiongea kiingereza kwetu ukija utapaswa ujue kiswahili kwanza ndo tuelewane!
hahaaa!Hamna bwana kila Ktu kitakaa sawaSasa kwani hamtotoka nje ya mipaka ya Tanzania na, je mkitoka wote mtakuwa na uwezo wa kuwalipa wakalimani?
Tanzania mtaifanya kuwa kisiwa. Naiona hatari iliyo mbele...
hahaaa!Hamna bwana kila Ktu kitakaa sawa
yaweza ikawa uko sahihi pia haswa kwa sie wa nchi ya ulimwengu wa tatu!Hapana nadhani si kila kitu kitakaa sawa. Kutazalisha matatizo mengine ambayo yatachukua tena miaka mingi kuyarekebisha.
Kiingereza hakiupikiki katika ulimwengu tulionao. Kiingereza ni kama maji tu matumizi yake mengi mno.
Jambo la msingi ingekazaniwa namna ya kuwezesha ufundishaji bora wa lugha hiyo kuanzia ngazi zote za elimu Chekechekea hadi Chuo Kikuu.
Acha dharau mkuu mbn kuna watu wanakula ganja na hawana akili kama hizo heshimu mmea wa kujua jema na bayaHuyu ana vielement vya kula GANJA huyu .
Nadhani huo ni ukweli.yaweza ikawa uko sahihi pia haswa kwa sie wa nchi ya ulimwengu wa tatu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mrembo hapo pichani si ndoyule kunakipindi alivaa nepi ya watoto au wamefanana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF bwana?Huyo bint alilalamika kuliwa jicho na mheshimiwa.
Dada unacheka nifahamishe au nimemfananisha NN?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio yeye mkuu.Dada unacheka nifahamishe au nimemfananisha NN?